Ezekiel 40:27

27 aUkumbi wa ndani pia ulikuwa na lango lililoelekea kusini. Naye akapima kutoka lango hili mpaka kwenye lango la nje upande wa kusini; ilikuwa dhiraa mia moja.

Malango Ya Kuelekea Ukumbi Wa Ndani

Copyright information for SwhKC